ACT Wazalendo yazindua rasmi kampeni zake Zanzibar kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 + SAUTI

Kiswahili Radio 6 views
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema akichaguliwa kuwa rais wa visiwa hivyo ataandika katiba mpya itakayohakikisha wananchi wote wanapata haki zao za kimsingi bila kujali itikadi zao za kisiasa.

Add Comments