Sheikh Ali Ammar Mwazoa azungumzia kitendo cha kuvunjiwa heshima Bwana Mtume SAW

Kiswahili Radio 2 views
Kitendo cha gazeti la Ufaransa la Charlie Hebdo cha kuchora tena vibonzo na vikatuni vinavyomvunjia heshima Mtume Muhammad SAW kimeendelea kulaaniwa na kukemewa katika maeneo mbalimbali ya dunia.

Wanaharakati, wanazuoni na jumuiya mbalimbali za Kiislamu zimelaani vikali njama hizo zinazoongozwa na wanafikra wa Kizayuni na Kimarekani na kutokubaliana kabisa na hatuua za kuhalalisha vitendo hivyo kwa kisingizio cha uhuru wa kutoa maoni.

Add Comments