Mgombea urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM azindua kampeni za uchaguzi

Kiswahili Radio 8 views
Chama cha Mapinduzi CCM visiwani Zanzibar kimezindua rasmi kampeni zake za uchaguzi tayari kwa ajili ya kujiandaa na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kuufanyika kote Tanzania mwezi ujao wa Oktoba.

Add Comments