Uingiaji holela wa wakimbizi nchini Uganda hautaruhusiwa kutokana na sababu za kiusalama

Kiswahili Radio 11 views
Serikali ya Uganda imesema, kutokana na sababu za kiusalama, haitaruhusu wakimbizi wa kila aina kuingilia kiholela nchini humo. Hii ni baada ya kubainika kwamba kuna wakimbizi wanaingia nchini humo bila kufuata taratibu zinazotambulika kimataifa.

Add Comments