Francos Bozizze kugombea Urais Jamhuri ya Afrika ya Kati

Kiswahili Radio 8 views
Aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) Francois Bozize ametangaza kuwa atagombea urais katika uchaguzi uliopangwa kufanyika mwezi Desemba licha ya kuwekewa vikwazo na Umoja wa Mataifa na kutolewa waranti dhidi yake wa kumtia nguvuni kwa tuhuma za kutenda jinai dhidi ya binadamu.

Add Comments