Bobi Wine azindua chama chake kipya cha kisiasa nchini Uganda

Kiswahili Radio 9 views
Kiongozi machachari wa upinzani nchini Uganda, Mbunge Bobi Wine amewataka vijana kuwajibika kwa taifa lao na kutokubali kubakia nyuma katika utendaji na uchapaji kazi.

Add Comments