Madrasa za Qur'ani Zanzibar zatakiwa kusubiri tamko la serikali kwa ajili ya kufunguliwa

Kiswahili Radio 80 views
Masheikh na waalimu wa madrasa za Qur'ani visiwa Zanzibar wametakiwa kuendelea kuwa wavumilivu kutokana na kuchelewa kufunguliwa madrasa za Qur'ani hadi pale serikali itakapotoa taarifa rasmi.

Add Comments