Bunge la Gabon lapitisha sheria inayowapa kinga ya kutoadhibiwa watu wa jinsia moja wanapofumaniwa wakifanya ngono

Kiswahili Radio 9 views
Bunge la Gabon lilikutana mwishoni mwa juma hili kupitisha sheria inayowapa kinga ya kutoadhibiwa watu wa jinsia moja wanapofumaniwa wakifanya kitendo cha ngono; sheria ambayo inakinzana na ile iliyopitishwa mwaka jana na bunge hilo.

Add Comments