AYATULLAH KHAMENEI AKIZUNGUMZIA UBAGUZI DHIDI YA WAMAREKANI WEUSI

Kiswahili Radio 14 views
Maandamano ya kulaani ubaguzi wa rangi na jinai ya polisi mweupe kumuuua Mmarekani mwenye asili ya Afrika sambamba na kuendelea kushuhudiwa katika miji na majimbo mbalimbali ya Marekani, lakini pia yamesambaa na kuenea kwa kasi katika nchi mbalimbali duniani hususan za Ulaya.

Maandamano hayo yameshuhudiwa katika mji mkuu wa Uingereza, London na mji mkuu wa Ujerumani, Berlin; ambapo mamia ya waandamanaji wamesikika wakipiga nara za "Hakuna amani iwapo hakuna uadilifu".

Add Comments