Sheikh Abdul Razaq Amir: Ni upi wajibu wetu sisi kama Watanzania kwa Wapalestina?

Kiswahili Radio 17 views
Siku ya Kimataifa ya Quds ulikuwa ubunifu muhimu kwa ajili ya kuwatetea Wapalestina na kutangaza kupinga dhulma dhidi ya wanyonge na wanaodhulumiwa hasa Wapalestina ambao wamekuwa chini ya ukandamizaji na dhulma za Wazayuni kwa makumi ya miaka na kulazimika kuwa wakimbizi.

Siku ya Kimataifa ya Quds ni siku ya kupaza sauti ya kupinga dhulma na ukandamizaji dhidi ya watu wote wanaodhulumiwa katika mgongo wa dunia.

Add Comments